Loading video...
Video Failed to Load
Dikteta Samia Suluhu msikilize baba wa taifa
42,954 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

@SuluhuSamia amekua raisi kwa sababu ya katiba alafu Leo anasema katiba ni kitabu tu, yaani katiba inafanaishwa na vitabu kama anavyotunga yeriko

@SuluhuSamia Tuna kiongozi wa ajabu aiseee khaaaa! Huyu hana uwezo wa kuongoza basi imetokea bahati mbaya sana

@SuluhuSamia Kuna kauli hakupaswa kuzionges kama Rais alafu Bora iwe mara moja

@SuluhuSamia Huyu Mama hakupaswa kuapishwa

@SuluhuSamia

@SuluhuSamia Sawa maneno ya huyo mtawala wenu wa kwanza TANGANYIKA kuwa katiba ndiyo sheria mbona mnapowaapisha VIONGOZI mnawapa bible kwa WAKRISTO na Quran kwa waislam amedanganya sana watu huyu jamaa yenu Mtanganyika mwenzenu

@SuluhuSamia 💯💯

@SuluhuSamia Sasa mwalimu nae si aliuwa watu wengi tu leo hii mnamsifia

@SuluhuSamia Mna akili za hovyo sana!

@SuluhuSamia @TweetHelperBot download this
