Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Dogo anakuja kwa Speed tunayoitaka 🔥🔥😃
11,589 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
8 Yorum

Latto 𝕏1 yıl önce
Mambo yameshaanza kuchangamka! Hivi karibuni tutegemee Collabo kati ya D.Voice na Dogo Paten Sikiliza kionjo chake... Video kwa Comments 👇

Vidy1 yıl önce
Mwambie d voice akumuacha tu dogo akasema oya sikia 😅, bhas ameshafunikwa hahahaahah

C H A M P1 yıl önce
Mamae D voice sio mtu wa mchezo mchezo dogo kakalishwa mita 2,000 🤣🤣🤣🤣🎵🎵

Latto 𝕏1 yıl önce
Ni kwamba tu Clip wamevujisha kipande cha D.Voice kwa urefu, But ukisikiliza vizuri dogo alikuwa anaenda maliza kabisaaa!!

公式:ちぃたん☆広島2 yıl önce
I'm Chiitan Japanese crazy mascot☺️Chiitan loves death metal💀💕

fred1 yıl önce
Wazee wa kupita na upepo

ENO P 4 441 yıl önce
Wamesau na wasanii wao walio tangaza kuwatoa 🤣🤣🤣

Official Billbank🔴1 yıl önce
Mimi nikisikia "Oya" najua tu kinachofata ni ''wee kama limetoroka mirembe"au "Sikia" hawa wana na oya zao ni🔥🔥🔥😅🙌
