Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Dogo kamfunika Mwamposa!! 🤣🤣🙌
23,645 görüntüleme • 8 gün önce •via X (Twitter)
14 Yorum

aijue kuma kwanza ndo alete hizi pigo sema kwenye vibakuri hapo🙌🏿🙌🏿

Huyo kakariri mambo. Hajakua bado. Hizi akili za wazungu hizi na dini za kuletewa ?

Kuna ufupi ujue kama ule wa aki na ukwa

Huyu mtoto mpumbavu

Kajamaa kakimbia shule ataka sadaka. Sharp kid

mjinga uyo

Kameanza kumendea sadaka zenu😄

Kukwepa tu kwenda shamba, nani alishuhudia huyo yesu anachapwa mijeredi

Ayubu alibatizwa sio?

Me nawambia siku huyu janja akiota vuzi mtamsahau

He need a mentor kwa kweli

sio kwa ubaya ila nadhani anatakiwa kusoma alafu afundishwe bilblia vizuri sana

halafu Tz mtoto aje agundue hata mdomo wa panzi upo wapi tutakaa sana anyway ndio urithi tulioachiwa na wazungu kina Bonke

Huyu dogo anapitia utumikishaji wa watoto, kwanza alitakiwa awepo shule.
Benzer Videolar
Sensitive content
Mk Minions 😅🤣😅😅😅🤣😅🤣😅🤣😅🤣😅😅😅🤣😅🤣😅🤣, ba re Lipipi tsa Mk Criminals li nyaaaneeeeee🤣🤣😂😂🤣😂🤣😂😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂😂🤣😂🤣🙌🙌🙌🙌Iyoooo mk Minions ka pipi tse nnyaane tse Uncircumcised 🤣😅🤣😅😅🤣😅🤣😅🤣😅🙌🙌🙌🙌
Mandela Nkhaketla (Political Kasongo)
30,822 görüntüleme • 1 yıl önce
