Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Dogo Katisha sana
47,340 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

@MdemuPolycarp Ichi ukikipigia mama ake Kofi hakikisha umewahi polisi kbl hakijarudi shule

@MdemuPolycarp Jet lee wa badae katisha sana

@MdemuPolycarp Huyu anakupiga mpaka unamuamkia

@MdemuPolycarp Duuh..! dogo kama Yondo sister hana mifupa kabisa😂😂

@MdemuPolycarp Hajapigwa kwenzi huyu

@MdemuPolycarp Shida ni kua bunduki imeleta uchawi huyu dogo atakufa akiwa amechoka...

@MdemuPolycarp Mtoto wa masta Huyu Ni sawa ukute mtoto wa Mwalimu Mkuu ni kipanga sana wa Mathematics 😂

@MdemuPolycarp Huyu akikutana na Mwijaku, Mwijaku anapigwa aisee🤣🤣

@MdemuPolycarp Hawa ndio wanakua walinzi wa nchi yao

@MdemuPolycarp Unaweza pigwa ukaanza kuulizia kosa lako ni nini!
Benzer Videolar
Sensitive content
Nani katisha kati ya hawa wote 🤣🤣🤣
アボット Kazimoto
17,807 görüntüleme • 2 yıl önce
