Loading video...
Video Failed to Load
Dogo Katisha sana
47,286 views • 2 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Kimaro🇹🇿2 years ago
@MdemuPolycarp Ichi ukikipigia mama ake Kofi hakikisha umewahi polisi kbl hakijarudi shule

Joo2 years ago
@MdemuPolycarp Jet lee wa badae katisha sana

50702 years ago
@MdemuPolycarp Huyu anakupiga mpaka unamuamkia

Spotted Hyena2 years ago
@MdemuPolycarp Duuh..! dogo kama Yondo sister hana mifupa kabisa😂😂

pelican2 years ago
@MdemuPolycarp Hajapigwa kwenzi huyu

Tr. Muxn..🤙2 years ago
@MdemuPolycarp Shida ni kua bunduki imeleta uchawi huyu dogo atakufa akiwa amechoka...

Unc Jerome 👤2 years ago
@MdemuPolycarp Mtoto wa masta Huyu Ni sawa ukute mtoto wa Mwalimu Mkuu ni kipanga sana wa Mathematics 😂

Thales of Milletus2 years ago
@MdemuPolycarp Huyu akikutana na Mwijaku, Mwijaku anapigwa aisee🤣🤣

Conc.H2SO42 years ago
@MdemuPolycarp Hawa ndio wanakua walinzi wa nchi yao

Mchaguzimkora2 years ago
@MdemuPolycarp Unaweza pigwa ukaanza kuulizia kosa lako ni nini!
Related Videos
2:00
Sensitive content
Mchizi anasikia MATUSI TUU😆😆😆 Sistaangu katisha sana. Haya kimbia Whatsapp uadiwe kwenye Grupu zangu za Mikeka BURE, ufunge mwaka KIBABE na SATIVA17. Whatsapp: 0757637880 Andika: “Ni add”
SIR TIVA
122,102 views • 1 year ago
