Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Drop it ( studio version ) OUT NOW!! 💥 Cc MASTA MBUZI 🐐🇹🇿 -Mendez
14,635 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
9 Kommentare

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK Anko Fareed Tangu naanza kusikiliza mikwaju yako ya "SUMU," BONGO HIP HOP, mpaka kazi zako za sasa. Utunzi wa verse zako bado ni moto sana! Wakati mwingine nawaza, kizazi kipya hakina mtu wa kariba yako—inauma sana.

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK 🔥🔥 2 mins kama vile ten minutes.

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK ...humu ni mawe tu FID LUNYA MASTA

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK Wasaniii wa HIP HOP tena A list wanaingia studio kuandika wimbo wa dakika 2 na sekunde 1 yaaani verse na chorus?? 🤔 Sijapenda bora nikaendelee kusikiliza SIMBA na GLORY🤝

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK Link boss, iko wapi?

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK Itoe kwanza jera #SIMBA

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK 🔥🔥🔥🔥🔥

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK Sawa mr FINITO. I Wish to meet you one day tupige mastori ,I am your fan since Huyu na Yule

@AyTanzania @YoungLunya @Sallam_SK mkuu mwanamarundi mtaa unawaitaji kama wasanii tafadhalini tusemeeni wananchi 🙏

