Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Dudeee letu la Simba
58,357 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
10 Kommentare

Hii ndio inatakiwa iwe official anthem ya Club Ina vigezo vyote coz hakujatajwa majina ya watu humo ndani na imezungumziwa Simba tu Yani hili ni Goma la Wana Simba King Kiba atupa huu unyama ndio tuliukosa mda mrefu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

HILI GOMA LITADUMU VIZAZI VYOTE VYA SIMBA HALIJATAJA MAJINA YA WACHEZAJI coz HUWA WANAKUJA NA KUSEPA ikibidi hii iwe SIMBA Official Anthem 🔥🔥

Simba hain mpinzani 😍🦁

Avatar sana hiiii kuna watuu wanateseka kwa taarifa yao. SIMBA UNYAMA MWINGI. tena sana 🔥🔥👌⚽

Yani mambo haya Kwa Simba Ni kawaida.. Hii ngoma ni unyama Sana iwe Nyimbo ya taifa 😁

M_Bet sasa

@wasafifm katika kipindi chao cha Wasafi Arena hii habari hawaitambui kabisa.

NImefurahi mpaka basiii,,,hii nyimboo ni nzuriii🙌❤️❤️

Ila Ahmed haya mambo mbona mnayafanya yanakuwa magumu sana , unajua Alikiba ni shabiki wa yanga kumkundu mkundu!!..

Sio POA goma goma
