Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Dunia inaelekea wapi?
26,754 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Dah... binadamu sijui kawaje?? Yaani hata ukifa hupumziki kwa amani, masela wanakugeuza kuku moshiii!!!

Kuna siku tulienda kufanya usafi makuburini alfajiri kwenye Kaburi la ndugu yetu jirani ya Kaburi tulilokua tukifanya usafi tulikuta mwili umefukuliwa mfuniko wa jeneza uko nje sanduku liko shimoni mwili aupo

Sasa naanza kuelewa kwanini makaburini wanawekaga walinzi. Kumbe unaweza kufa half ukaibiwa kwenda kuwa stimu za watu.

When people have nothing important to do, they define and seek pleasure in madness ways.

Ukifa ukioza we ni mchongo hii isije bongo hii video ificheni 🙏🏿🙏🏿

Nasikia tayari ipo check comment

Hii ni issue ya kawaida inaitwa ECOSYSTEM ukifika kuna wengine watanufaika na mzoga wako,wengine watatumia mifupa yako kupata steam kwa sababu ya wingi wa Sulphur iliyopo kwenye mifupa una sababisha upate steam ya maana.

Hatari sana. Hakuna kupumzika either ukiwa hai au umekufa. Utatumika tu

😳😳

Duuh !
