๐๐Dunia simama nishuke
@_kingOFstreet3.4K followers
15,171 views
56 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@GesaseMrimi1
Hivi niulize hili ndio bunge tulilosoma shule kua ndio chombo kinachotunga Sheria na kusimamia serikali?
7 likes

@_kingOFstreet
Hata sielew naona kama maigizo
1 like

@kirahiJS
Halafu wezi ndio wanapenda sana kuvaa mitai ya bendera za taifa ๐คฃ
6 likes

@_kingOFstreet
Wanajifichia kwenye uzalendo
1 like

@SalimuIbwe
Video kama hizi zinasikitisha sana... 1. Mbona kaanza kuwazungumzia GenZ na hata hajaeleza namna gani hawafai... 2. Kaanza kuzungumzia mambo ya Nyeti kupotea. Na anasema ndugu zetu wengi wameuwawa. Anaweza kuwa na takwimu za idadi ya watu waliouwawa?? Ni aibu sana kwa Bunge
4 likes

@_kingOFstreet
Bunge hamna kitu kudadeq
1 like

@Josephmaro8
Wakodi ile chombo ya NASA wawapeleke wakaishi mwezini! Nyambaf!
3 likes

@_kingOFstreet
๐๐๐

@noelzm123
Hakuna mbunge hapa kmmk
3 likes

@_kingOFstreet
Me nilijua ni content

@gudjow1
Huyu nae ni Mbunge?๐๐
2 likes

@_kingOFstreet
Etiii
1 like

@takolanyani
Ukute akisi JINA Gen Z..., anajua ni CHADEMA ๐๐
2 likes

@_kingOFstreet
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

@sinahisa
Gen-Z mnawaona Wajinga kwa sababu wameamua kwenda against the Grain.
2 likes

@_kingOFstreet
Umeona eeh

@ghostPulse00
Tujirushe tu brother, hii dunia kisimam sio sas
2 likes

@_kingOFstreet
@eralera0123 ๐๐

@wilbroadaugusto
Tulimkosea nini Mungu kumamae
1 like

@_kingOFstreet
Aloooooh
1 like






















