正在加载视频...

视频加载失败

Duuh! Huyu Sheikh 🤔

22,161 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Ikabaako 的头像
Ikabaako1 年前

Ukweli ndio huo. Uislamu ni wa waarabu tu. Nyie gongo wazi mmedandia tu. Wakristo tupo organized sana kwa sababu tunaenda shule na sio madrassa.

Rock Paper Sizzle 的头像
Rock Paper Sizzle1 年前

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Bonusbet Tanzania 的头像
Bonusbet Tanzania1 年前

Hivi kwann hawa jamaa muda wote wanaisigi wanaonewa tu🤣

Classic Cars 的头像
Classic Cars1 年前

Ndo maana Mayele alisema wanamtumia Majini 😂😂😂😂

Juma Dintor 的头像
Juma Dintor1 年前

Huyo ni mwaipopo ni mkristo na sio Muslim alisilimu alijua kwenye uislam kuna hela huku kuyamunya mpila upo Saudi Arabia wanaotumia hela nyingi kuliko sisi waliotuletea dini huku kwenye uislam naona safari yake ishakua ngumu aludi alipotoka

Eli Njex 的头像
Eli Njex1 年前

Kuna waislamu weusi Waislam weupe Waislam maskini Waislam matajiri Waislam weusi maskini Waislam weusi matajiri Waislam weupe matajiri Waislam weupe maskini Ogopa sana kujikuta mtu wa dini alafu ni maskini wa kifedha!

abudhabi 的头像
abudhabi1 年前

Mbona shekhe kunde na maharage mwipopo hajasema kuwa mpira wananchi wote tanzania akili yao imepotelea huko mkristo muislamu wote wamo kwenye mpira hujui kuwa Mo na GSM kwenye mpira wanapata faida kuliko biashara zao waislamu ndio matajiri tanzania na ndio wanaokula bata

@ Issare 的头像
@ Issare1 年前

Hao wakristo dini inawachanganya

Dirisha Dogo🇹🇿 的头像
Dirisha Dogo🇹🇿1 年前

Naomba @EsirEid aje apangue maelezo ya huyu sheikh ubwabwa ambaye anataka uislamu uwe kama ukristo kitu ambacho hakiwezi kutokea.

kijana jasiri 的头像
kijana jasiri1 年前

Sheikh ana akili kisoda kwahiyo kila nchi hadi Ulaya waislamu tu ndio wapo busy na mpira 🚮🚮

Skymoca_tz 的头像
Skymoca_tz1 年前

Kwani uislam unakataza kushabikia mpira au kuwekeza kwneye mpira

相关视频