Loading video...
Video Failed to Load
Duuh!! ๐๐
64,659 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
11 Comments

Idea yao nzuri Sema wana humu hawapendagi Amani kabisa, Mbona Vanny boy alivyo kuja na Idea nitokeje akawataja taja madem kibao hamukumchana mlimsifia lkn awa mnawaita wadangaji,ndo maana vipaji vya watoto wakike havifiki mbali sababu ya mambo haya haya.

Uvivu wa Kuuza ubuyu tuu

๐บ๐ธ One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? ๐ชTough T's Here:

Si nikahisi ni wezi wa karakoo kwa huu mkao.๐๐๐

Yani vina waza kudinywa TU au nn

Vitoto vya 2000 vina vibe

Wako vizuri ingawa wanaimba ujinga..Wamtafute Ruge

Hii clip yao ya pili naiona. Vitoto vya 2k ๐๐ฟ na vitaingia mjini hivi hivi tupo hapa ๐

Washajua soko Linataka Nini Mchawi soko Liwaitikie Tu hii haina tofauti na Kauli mbiu ya Utopolo โDaima mbele,nyuma mwikoโ

Izi za chuga kam sikosei

Wana kitu
Related Videos
Sensitive content
3 cara memusnahkan bangsa Indonesia... Duuh, bu dokter..๐ซฃ
T0361M4N
14,650 views โข 8 months ago
