正在加载视频...
视频加载失败
Duuh!! 😂🙌
64,659 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Idea yao nzuri Sema wana humu hawapendagi Amani kabisa, Mbona Vanny boy alivyo kuja na Idea nitokeje akawataja taja madem kibao hamukumchana mlimsifia lkn awa mnawaita wadangaji,ndo maana vipaji vya watoto wakike havifiki mbali sababu ya mambo haya haya.

Uvivu wa Kuuza ubuyu tuu

🇺🇸 One Nation, under Trump, Stronger THAN EVER. Are you Trump Tough? 💪Tough T's Here:

Si nikahisi ni wezi wa karakoo kwa huu mkao.😁😁😁

Yani vina waza kudinywa TU au nn

Vitoto vya 2000 vina vibe

Wako vizuri ingawa wanaimba ujinga..Wamtafute Ruge

Hii clip yao ya pili naiona. Vitoto vya 2k 🙌🏿 na vitaingia mjini hivi hivi tupo hapa 😅

Washajua soko Linataka Nini Mchawi soko Liwaitikie Tu hii haina tofauti na Kauli mbiu ya Utopolo “Daima mbele,nyuma mwiko”

Izi za chuga kam sikosei

Wana kitu
相关视频
Sensitive content
Sema wakenya duuh 🔥💔🙌
Bony 📚
227,352 次观看 • 1 年前
Sensitive content
Duuh makin hot aja bli yang ini
Odading
23,914 次观看 • 2 年前
