9 条评论
评论来自 X (Twitter) 上的原帖

@TheBlacModel
Mpiga picha naye alikunywa muratina kwanza!
75 个赞

@Jweezeh
Mungu akupee simu kali ivi alafu anakupea kifafa...🙁
63 个赞

@MuthusiH
Si wasee mko na matenje💥
31 个赞

@Mongela_h
Na mko na magadgets manze
14 个赞

@fwelloh
Sasa tuchome KICC ama?
12 个赞

@MulaMoraes
Apa ndio wana wekanga snipers wa shoot to kill
7 个赞

@elonmaski254
Mimi siwezi toa hii Tecno yangu, haiwezi zoom past 1meter
6 个赞

@kadogo_kristina
Hakuresign??
6 个赞

@mondayfadhy
What’s with the heavy caption? Bladifakin
6 个赞
