Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Enyewe elections are near.
42,296 görüntüleme • 20 gün önce •via X (Twitter)
34 Yorum

Sahii ukiambia politicians akuoshe mguu,I swear anaosha.

Elections ziko karibu ,ukiona politicians wameanza hizo humility zao za takataka ujue niivo 😂

This time round we are paying much closer attention to track records rather than slogans. It's that time of the year that politicians will even help you dig your shamba. One day they're an expert with a jembe, next day you can't even get them on the phone. No fooling around now!

Hakuna mtu ananibore kama huyu shosh walai. I would kill her if given a chance

'Stage four Cancer'😂😂😂

😂😂😂😂

Si ni mimi nakushow bro.

Rejomaria wanga😂😂🤣

Nothing like that. Wanga is just smart and good mobiliser. She knows how to get along with the crowd. Even Millie Odhiambo Mabona is jealous of her!

From beating people in the streets to beating drums

Hiyo drum sounds ni ya kushtua cancer cells

Huyu ni ule wa Mapangalee

Huyu ndio ako na Cancer Stage 4?

Hii ndiyo wakati kuna kila aina ya tukio wanasiasa hujipenyeza

Ona tu hiyo age group hapo,our parents really let us down for sure

But who are we tolerate them,unaweza pata Hospital huko ni mess ajab lakini who are we Kenyans 😭😭we clap and laugh 😂

Stage 4 cancer

Trying everything to keep connected to the Kenyans..... Lakini ata wafanye nini tunasoma kitabu cha Nyandarua mlango wa Olkarau

Those are the girls who attended Sunday school no wonder Wang's prowess in drum beating is unmatched.

Ata mambo ya cancer card imeletea kwa meza

Chai owang’o dinda mkate emo resa battalion 😂😂

Si arkua na cancer for the 10th time

Ah 🤣

I wonder, even they will not elect her

Umaskini ni kitu mbaya

Sai wanaeza fanya chochote iliwapigiwe tu kura tena😂😂

Rafiki ya ruto

Sharp girl 2.0

Cancer patient ana overwork

😂😂😂

Hii ni stage 4 ya campaigns?

Huyu ndio mlisema ako stage 4 cancer?

Beating is her thing, people, drums etc.

huyu mama i hope wamuoshe mbaya sana next year, anyimwe kura mpaka aingie mitini
Benzer Videolar
Sensitive content
Elections are bought.
Rathbone
22,474 görüntüleme • 1 yıl önce

