Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Eti 4Rโ€™s ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

66,190 views โ€ข 2 years ago โ€ขvia X (Twitter)

31 Comments

Jason's profile picture
Jason2 years ago

Tumeshakubaliana ni SGR TRA na TRAB na TRAT

(---) Onesmo Mushi's profile picture
(---) Onesmo Mushi2 years ago

Tukishasikia maneno ya kiingereza tu aaaahhhhhh โ€œmama ni wa kipekee huyu.โ€

MASTER PIZO's profile picture
MASTER PIZO2 years ago

Kwani si tumekubaliana baba mkwe R zipo humu sgR tRa tRab tRat jumlisha R hizo = 4R

Tanzania Abroad TV's profile picture
Tanzania Abroad TV2 years ago

4R Ni ujinga mtupu

healthylife's profile picture
healthylife2 years ago

Me mwenyewe nilikuwa nasikia tu , ila maana yake cijui ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

TANGANYIKA's profile picture
TANGANYIKA2 years ago

4Rs za mchongo

First Born's profile picture
First Born2 years ago

Faza nataman kua karibu Sana na wew nijufunze mengi .

babu kajembe's profile picture
babu kajembe2 years ago

Mwenye akili timamu

Deus Gerald's profile picture
Deus Gerald2 years ago

Watu wenye IQ kama ya huyu mwamba@PMadeleka inabidi alazimishwe azae watoto wengi sana ili kizazi cha aina hii kisipotee kirahisi

Delain John's profile picture
Delain John2 years ago

Umekaa zako mahali unalewa, unashangaa kuambiwa hauko na utimamu wa akili๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mujuni's profile picture
Mujuni2 years ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tonny's profile picture
Tonny2 years ago

I totally agree with Madeleka

๐—ก๐—š๐—จ๐—–๐—›๐—œ๐—ฅ๐—ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
๐—ก๐—š๐—จ๐—–๐—›๐—œ๐—ฅ๐—ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

๐Ÿค”

weeknd yrn's profile picture
weeknd yrn2 years ago

Reconcile na nani,kwa ajilj gani , na inahusu nini ๐Ÿ˜‚ maswali haya ni magumu mno

Ayao The Boss's profile picture
Ayao The Boss2 years ago

Hivi kweli 4R ni?

Saidi Otham's profile picture
Saidi Otham2 years ago

kabisa wakili wangu

JJ T's profile picture
JJ T2 years ago

Lakn mwanzo si mlizikubali why hamukufanya Udadavuzi kama huu

Simba wa Yuda's profile picture
Simba wa Yuda2 years ago

Yes

#NAPENDEZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
#NAPENDEZA๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ2 years ago

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mr. Adv in 1 & 2

A Man of The People's profile picture
A Man of The People2 years ago

Majamaa bado yanajua Tanzania ni bado ile ya miaka ya kifimbo

Haki Huinua Taifa's profile picture
Haki Huinua Taifa2 years ago

Waiii tumechoka sasa

KINARA๐Ÿค 's profile picture
KINARA๐Ÿค 2 years ago

Mungu okoa Tanzania

Poul Kibe's profile picture
Poul Kibe2 years ago

HahahH

Nsutusu's profile picture
Nsutusu2 years ago

Itakuwa ni reabduction kaka tujiongeze tu

Isack Eliji's profile picture
Isack Eliji2 years ago

Rencociliation Reform Rechange R

Adloph's profile picture
Adloph2 years ago

Hii swali umeliweka vizuri sana.

Alfred Simbili's profile picture
Alfred Simbili2 years ago

Nakubali Wakili Msomi Peter Madeleka, una kabia kwa juu mpk tusio elewa sasa tunaelewa Mungu akupe Maisha marefu mno

Mr. CEO ๐Ÿ’ฐ's profile picture
Mr. CEO ๐Ÿ’ฐ2 years ago

๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚

FRV. Mark Richard Kiwango's profile picture
FRV. Mark Richard Kiwango2 years ago

Mmesikia ukilewa ujue huna akili timamu, kaseme Mh.

babu kajembe's profile picture
babu kajembe2 years ago

Kuamini nini ni kuamini kuwa kuamini hivyo ni kuamini ya kwamba kuamini nini

chambala's profile picture
chambala2 years ago

Mtu wa maana kabisaa wew @PMadeleka

Related Videos