Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Eti 4Rโs ๐๐๐๐
66,190 Aufrufe โข vor 2 Jahren โขvia X (Twitter)
31 Kommentare

Tumeshakubaliana ni SGR TRA na TRAB na TRAT

Tukishasikia maneno ya kiingereza tu aaaahhhhhh โmama ni wa kipekee huyu.โ

Kwani si tumekubaliana baba mkwe R zipo humu sgR tRa tRab tRat jumlisha R hizo = 4R

4R Ni ujinga mtupu

Me mwenyewe nilikuwa nasikia tu , ila maana yake cijui ๐๐

4Rs za mchongo

Faza nataman kua karibu Sana na wew nijufunze mengi .

Mwenye akili timamu

Watu wenye IQ kama ya huyu mwamba@PMadeleka inabidi alazimishwe azae watoto wengi sana ili kizazi cha aina hii kisipotee kirahisi

Umekaa zako mahali unalewa, unashangaa kuambiwa hauko na utimamu wa akili๐๐

๐๐

I totally agree with Madeleka

๐ค

Reconcile na nani,kwa ajilj gani , na inahusu nini ๐ maswali haya ni magumu mno

Hivi kweli 4R ni?

kabisa wakili wangu

Lakn mwanzo si mlizikubali why hamukufanya Udadavuzi kama huu

Yes

๐๐ Mr. Adv in 1 & 2

Majamaa bado yanajua Tanzania ni bado ile ya miaka ya kifimbo

Waiii tumechoka sasa

Mungu okoa Tanzania

HahahH

Itakuwa ni reabduction kaka tujiongeze tu

Rencociliation Reform Rechange R

Hii swali umeliweka vizuri sana.

Nakubali Wakili Msomi Peter Madeleka, una kabia kwa juu mpk tusio elewa sasa tunaelewa Mungu akupe Maisha marefu mno

๐๐

Mmesikia ukilewa ujue huna akili timamu, kaseme Mh.

Kuamini nini ni kuamini kuwa kuamini hivyo ni kuamini ya kwamba kuamini nini

Mtu wa maana kabisaa wew @PMadeleka

