正在加载视频...
视频加载失败
Eti 4R’s 😂😂😂😂
66,190 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
31 条评论

Tumeshakubaliana ni SGR TRA na TRAB na TRAT

Tukishasikia maneno ya kiingereza tu aaaahhhhhh “mama ni wa kipekee huyu.”

Kwani si tumekubaliana baba mkwe R zipo humu sgR tRa tRab tRat jumlisha R hizo = 4R

4R Ni ujinga mtupu

Me mwenyewe nilikuwa nasikia tu , ila maana yake cijui 😂😂

4Rs za mchongo

Faza nataman kua karibu Sana na wew nijufunze mengi .

Mwenye akili timamu

Watu wenye IQ kama ya huyu mwamba@PMadeleka inabidi alazimishwe azae watoto wengi sana ili kizazi cha aina hii kisipotee kirahisi

Umekaa zako mahali unalewa, unashangaa kuambiwa hauko na utimamu wa akili😂😂

😂😂

I totally agree with Madeleka

🤔

Reconcile na nani,kwa ajilj gani , na inahusu nini 😂 maswali haya ni magumu mno

Hivi kweli 4R ni?

kabisa wakili wangu

Lakn mwanzo si mlizikubali why hamukufanya Udadavuzi kama huu

Yes

😂😂 Mr. Adv in 1 & 2

Majamaa bado yanajua Tanzania ni bado ile ya miaka ya kifimbo

Waiii tumechoka sasa

Mungu okoa Tanzania

HahahH

Itakuwa ni reabduction kaka tujiongeze tu

Rencociliation Reform Rechange R

Hii swali umeliweka vizuri sana.

Nakubali Wakili Msomi Peter Madeleka, una kabia kwa juu mpk tusio elewa sasa tunaelewa Mungu akupe Maisha marefu mno

😄😂

Mmesikia ukilewa ujue huna akili timamu, kaseme Mh.

Kuamini nini ni kuamini kuwa kuamini hivyo ni kuamini ya kwamba kuamini nini

Mtu wa maana kabisaa wew @PMadeleka
相关视频
TAPELI wa MTANDAONI kakutana na BACK BENCHA kabaki kukemea eti SHINDWA 😂😂😂😂
goligani
24,031 次观看 • 1 年前

