Loading video...
Video Failed to Load
Faw Tanesco
8 Comments

m rizoo1 year ago
Hawa jamaa noma

King's man...1 year ago
Ila bado mechanic tutapigiwa simu tu... Deferential unit naiona kwa ufasaa

Mwanza Busesโ๏ธ1 year ago
Hili ni la kuchaji

MrRoboto ๐ฅ๐ฝ๐ฝ1 year ago
Unyama sana

The_real_joe1 year ago
Unatoka dar unafika Moro linazima chaj na Moro umeme umekatika safar mpaka tanesco apange tunduma mpaka ufike tunduma mashine zote za kusaga unazijua kwenda kichaji

YRN~HOVA1 year ago
Grid za taifa

ambu john1 year ago
Ila hawa jamaa hizi utaziona kwao labda na south Afrika kama watataka trip town

steven1 year ago
@ChrisBennet_ anamaon gani kwani
Related Videos
0:29
Sensitive content
Katika hali isiyo ya kawaida Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za Shirika la umeme nchini (TANESCO) Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Gilly Bonny Tv
133,304 views โข 1 year ago

