正在加载视频...

视频加载失败

Former CAG. Proff assad.

55,250 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

Ketamine💉💊 的头像
Ketamine💉💊1 年前

Ndo kama saiv limejemgwa JENGO kubwa la mahakama halaf utoaji wa HAKI ni sifuri, Sasa jengo linasaidia nin kwenye utoaji HAKI 😃😃

Tastopia 的头像
Tastopia1 年前

I wish I had found this sooner! 🥳 It ensures a tidy sink area. ✅It was easy to attach to the faucet and holds tight! Get yours 👉

🇹🇷GianT 的头像
🇹🇷GianT1 年前

Bahati mbaya hawa watu wenye akili timamu nchi hii hawatakiwi

My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱 的头像
My64impala🇺🇦🇺🇸🇹🇿🇮🇱1 年前

Halafu msenge Magufuli akamfukuza kazi baada ya kusema Air Tanzania imeingiza hasara. 🚮🚮

AMORIM ERA🇵🇸@allymohamed 的头像
AMORIM ERA🇵🇸@allymohamed1 年前

Assad alikua hakwepeshi😂

mobappdev 的头像
mobappdev1 年前

Sana sana,huyu ndiye msomi sio kina kabudi mwigulu kitila mkumbo

Athuman Charles 的头像
Athuman Charles1 年前

Naishaur viongozi wa chadema wamshawishi huyu mzee ajiunge chamani ni hazina kubwa kwa taifa

poizon 的头像
poizon1 年前

Nakumbuka wabunge wakiongozwa na ndugai waliwahi kumnanga sana huyu tena kwa kejeli kisa aliwaambia ukweli kwamba bunge ni dhaifu lakini kiufupi huyu mwamba kichwani yupo vizuri badala ya Rais kuandamana na watu kama hawa kwenye msafara unamchukuwa stivu mengere na mwijaku 😁

benkiko 的头像
benkiko1 年前

Watu kama ni tunu ya taifa na ni ngumu sana kupatikana kirahisi, but viongozi wetu sasa wasvyopenda transparency 🚮🚮

Fred Mwanemile 的头像
Fred Mwanemile1 年前

Tuna watu makini kama huyu prof ila Kwa ujinga wetu hatuwatumii ila machawa ndio wanapewa

Meshack LOOMU 的头像
Meshack LOOMU1 年前

Professor Assad ndiye muasisi wa no reforms no election!

相关视频