5 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@raphael_tz1
Yaani kumbukeni huyo anayebishana nae alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Balozi anaongea kama zuzu 😂
8 likes

@godfrey_cmg
Uyu muhaya alkuwa kama bwabwa
2 likes

@GaitRash
Mfano mzuri wa mjinga huzeeka, sawa tu na mwelevu
2 likes

@nyirendamimi
Chawa mzee
1 like

@hamdan_ham70252
Hili chizi sana eti urudi nyumbani 🤣
