Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Full peefomance ya Said Said

34,911 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 13

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Haja The Great wa Bongo Fm na Sky wa Simulizi na Sauti, Wamesema kuwa aina ya Uchekeshaji wa Said Said, jana mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan Haukukaa vizuri, Ilikuwa Haiko Comfortable kusikiliza Au kumwambia Rais. Soma walichosema.. Kisha sikiliza Full perfomance yake.. Video kwa Comments 👇

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Alichosema Haja The Credible na Sky Tanzania

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Baba leovo akawa na hili la kuongeza kuhusu Comedians na Said Said

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

whoa thats crazy but have you heard this?

Фото профиля Christian Mgombezi
Christian Mgombezi1 год назад

Amekosea kumsema Rais kama mama wa mtaani, mh. Rais ana heshima yake

Фото профиля Richie Dollar
Richie Dollar1 год назад

Ana mu address amiri jesh kama mama flani tu mtaani, hata ukiangalia facial expression ya Rais anaonekana hapendezwi kijana amekosea sana

Фото профиля JayDan
JayDan1 год назад

Hata haivutii kuisikiliza. Mwanzoni tu hapo unaamua tu kuachana nayo kuisikiliza. Kazingua sana

Фото профиля James hamis
James hamis1 год назад

Ukizoeana na mtu anakuchukulia poa badala ya kulinda heshima, it means hakuwa na hata script ya kwend kuiwasilisha hapo.

Фото профиля Winjy2k
Winjy2k1 год назад

Sasa hapa kasema kitu gani offensive, wabongo ni washamba kinoma. No sense of humor kabisa, this was very well done good job bro.

Фото профиля AGE49👽
AGE49👽1 год назад

Mbona hakuna alichokosea huyu dogo. Dah ila wabongo

Фото профиля Baura Akii-Buar Keitō 🇿🇲🇺🇬
Baura Akii-Buar Keitō 🇿🇲🇺🇬1 год назад

Ndio maana umeiita ni PEEFOMANCE maana kweli ni mkojo mavi tu. Hakuna comedian hapo. Ushuzi tu.

Фото профиля Kopites
Kopites1 год назад

@Jameskaguo

Фото профиля Shedrack Joshua
Shedrack Joshua1 год назад

Ndio shida ya watanzania ukiwapa nafasi hawatengenezi wanaharibu

Похожие видео