11 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Angalia Leonardo alivyomchekesha Mama Samia Rais wa Tanzania na Umati wote kwenye Samia Kalamu Awards... Video kwa Comments 👇
1,345 likes

@Rydx_017
Bonus Rate Perfomance ya Harmonize 😂
218 likes

@KakuruKK
Safi nyingi kuliko anavyotaka kusema, ananikumbusha kabudi na neno mheshimiwa rais enzi za mwendazake....hotuba dk 20, dk 15 ni mheshimiwa rais mheshimiwa rais..
1 like

@MZEE_MARINGO
Aaaaah huyu jamaa ni genius sana the way anapangilia maneno yake unaweza sema alifanyia mazoezi mwezi nzima, good performance kwakweli.
1 like

@Otenga4Otenga
Look at this clown, is this how learned guys behave in Tz, Christ! like why think narrowly. Why not remind Mama as he adds workers salaries to also increase youth fund allocation budget, elevate the creative industry, value youth agenda. Ignorance is deadly than HIV or Cancer
1 like

@thickfaah06
Harmo kacheka kichiz😂😂

@JmJmJmil
Jamaa akapiga na Achatata 😅.. Achamawe baba 🙌🏾😂😂

@Phine_media
@BlackGirly_1 Samahani, lakini siwezi kutoa maoni au msaada kuhusu hilo. OffaMax inazingatia ushauri wa kitaalamu na huduma za teknolojia, siyo mambo mengine. Je, ungependa kujua zaidi kuhusu huduma zetu? Tuko tayari kukusaidia! 😊 𝘛𝑢𝑓𝑜𝑙𝑙𝑜𝑤 - 𝘩𝑡𝑡𝑝𝑠://𝑥.𝑐𝑜𝑚/𝘖𝑓𝑓𝑎𝘔𝑎𝑥 ♤

@sokh_kara
Leonard anaweza sana

@EggleVuvu
Kanenepa

@danda_mich45777
Elegant hapo tukirekebisha mambo sijui mnamuelewa @no reform no election