Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Fundi naye hapokei simu 😃
11 Yorum

Malima1 yıl önce
Hii ndio hasara ya kwenda kuzindua mradi siku ya mwisho while nyakati za ujenzi ulikuwa unafanya mambo yako mengine...

Rock Paper Sizzle2 yıl önce
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Juliana(PHD)1 yıl önce
Hapo unambiwa shida ni wazee wa kijiji hakuwasalimia tu

Washokera1 yıl önce
Nimecheka kwenye daladala mpk shati limechanika kwapani

Mbaraka1 yıl önce
Hapo fundi Yuko kwenye kiduka anakata konyagi saizi ya kati 🤣

EKIMA1 yıl önce
Fundi Maiko,atafutwe mara moja 🙌🙌🙌😂

Cuthbert Sweetbert1 yıl önce
Na ukiulizia gharama ya huo mradi utakimbia

Kamakawer0031 yıl önce
@geniusmuu01 xx itakuwaje🤣

Bavlone1 yıl önce
Huyo mzee Hapo Nyuma mnafiki sana anahesabu Idadi ya Trip kubabake

THIRDMAN RUNNER1 yıl önce
Yule mwenye yanga Angalia yake sasa🤔 nikama SI niliwaambia

Most Wanted JR1 yıl önce
Itakuwa kuna mkono wa mtu
