正在加载视频...
视频加载失败
Fundi naye hapokei simu 😃
11 条评论

Malima1 年前
Hii ndio hasara ya kwenda kuzindua mradi siku ya mwisho while nyakati za ujenzi ulikuwa unafanya mambo yako mengine...

Rock Paper Sizzle1 年前
💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Juliana(PHD)1 年前
Hapo unambiwa shida ni wazee wa kijiji hakuwasalimia tu

Washokera1 年前
Nimecheka kwenye daladala mpk shati limechanika kwapani

Mbaraka1 年前
Hapo fundi Yuko kwenye kiduka anakata konyagi saizi ya kati 🤣

EKIMA1 年前
Fundi Maiko,atafutwe mara moja 🙌🙌🙌😂

Cuthbert Sweetbert1 年前
Na ukiulizia gharama ya huo mradi utakimbia

Kamakawer0031 年前
@geniusmuu01 xx itakuwaje🤣

Bavlone1 年前
Huyo mzee Hapo Nyuma mnafiki sana anahesabu Idadi ya Trip kubabake

THIRDMAN RUNNER1 年前
Yule mwenye yanga Angalia yake sasa🤔 nikama SI niliwaambia

Most Wanted JR1 年前
Itakuwa kuna mkono wa mtu
相关视频
0:20
Sensitive content
Kama Mwanamke Wako:- -Kila Wikiend Anatoka -Anavaa Mavazi Ya Hovyo -Anapost Picha Zake Za Nusu Uchi -Anawasiliana na Wanaume Wengi Kwenye Simu Yake Achana Naye, Ni Mal
Zature
19,995 次观看 • 2 年前
