Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Furaha yetu
14,830 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
10 Kommentare

TheMazeRunnervor 1 Jahr
Mamaeeee....😄😄😄 Kama sio wew iliongea haya😂😂

👑mr technology💻vor 1 Jahr
SEMAJI LA CAF🦁🔥🔥

Solar Heavyvor 1 Jahr
space meets sound

Iddy Iddyvor 1 Jahr
UBAYA UBWELA Mpaka tunachukua KOMBE kama unaumia sisi kuingia fainali hamia BURUNDI🇧🇮 😂😂😂

Lorry 💫🔥🙏vor 1 Jahr
Wanyooshe kaka..Hadi fainali ifike wamechoka🤣

kabungeni Jrvor 1 Jahr
Kwa furaha hii ningekua na pesa ungeniagizia ata gari moja kutoka MEDALI 😂.

Long'wisha Mbiti Ntegogong'wa Goshiling'wa Nkandavor 1 Jahr
Kombe tukilichukua andika barua kwa GONGO wazi kuwaazima likae ofisini kwao ndani ya wiki then ndo likae kabatini, hii itadhihilisha tumeweza na tunaweza

Malalo Adamvor 1 Jahr
Muwe mnaweka akiba ya maneno, haimaanishi ukiwa msemaji ndy uwe zwazwa moja kwa moja kaka

Fetty Wakuachevor 1 Jahr
ISUKUMIZIE IKIKWAMA

JJkvor 1 Jahr
Bahati mbaya bado haujakaa na makombe mmalize tofauti zenu 😥
