Loading video...
Video Failed to Load
Gen-z hii iliwapita
29,058 views • 16 days ago •via X (Twitter)
26 Comments

Hard target Mimi sio millennial ila hii naielewa mnoo

Hiii movie bhna wazee wa CD ndio tunaelewa

Hard Target chipupute

kwenye hii movie babu yake van damme anapika gongo balaa😂

Orando, Orando, orando, You live without say Goodbye.

Simsikii mkandala hii sio yenyewe

Mkandala hapo kashaweka mic pembeni

Dame marasta

HARD TARGET

Kuna hii na ile ya cyborg wenyewe tunaiita dame msalabani

Ukifuatilia kwa umakini utagundua kuwa alie ruka gari na kutua chini ni watu wawili tofauti

Bonge Moja la move hili mzee tulikuwa tunaliita Demme ya Rasta

🔥

🔥🔥🔥🔥

Kali kinoma

Hawajui

Hard Target 😅😅😅😅

Ilikuwa movie kali 🔥

Nkt 😂

Apa lufufu alituhadithia oya sio kuna uncle ake dame yupo zake shamba anapika gongoo oya sio poa

Duuuh

Dame marasta💯

Dame marasta

Don't hunt what you can't kill

Mzee kipupute😂😂😂oya sio poa.

Hii naipata wapi aiseeh
