正在加载视频...

视频加载失败

Gerald Hando ana hoja?

41,313 次观看 • 1 个月前 •via X (Twitter)

22 条评论

Turatsinze 的头像
Turatsinze1 个月前

Haikua na haja zaidi ya kuongeza gov expenditures. Matatizo ya vijana ni ya kutatuliwa na good governance tu . Mambo mengine yatakaa kwenye mstari yenyewe

Yusuph Kileo 的头像
Yusuph Kileo1 个月前

Wizara hii nadhani bado mpya tuipe muda Binafsi naamini Wizara hii ya Vijana inapaswa kuleta mageuzi makubwa ya kitaasisi na kisera ili kubadilisha nguvu kazi ya vijana kuwa nguzo kuu ya uchumi wa taifa letu Katika muktadha wa sasa, wizara inatakiwa kuhama kutoka kwenye kuratibu matukio ya kijamii pekee na kuwa kitovu cha kuchochea fursa za kiuchumi, mabadiliko ya mifumo ya elimu, na ustawi wa jamii Tayari Mheshimiwa Rais Dr. @SuluhuSamia amesha tuwekea mwanzo mzuri wa kuleta mageuzi ya elimu yetu ambayo kwa muda ilikua ikilalamikiwa kwa kuingiza ujuzi wa amali na teknolojia mpya, kama vile Akili Mnemba (AI) na Sayansi ya Data, kwenye mitaala ya kitaifa ili kukabili changamoto za ajira Sambamba na hilo, Serikali imeendelea na ujenzi wa miundombinu ya kidijitali na vituo vya ubunifu (Hubs) ili kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika uchumi wa kisasa wa kidijitali Aidha, Katika upande wa kiuchumi na ujasiriamali, tumeanza kuona maboesho zaidi katika mifuko ya mikopo nafuu isiyo na riba na kutoa unafuu wa kodi kwa biashara changa (Startups) zinazoongozwa na vijana. Hatua hizi zote njema zinapaswa kuenda sambamba na uwekezaji kwenye afya ya akili na ustawi wa jamii, ili kuhakikisha vijana wanakuwa na utayari wa kisaikolojia kukabili ushindani wa soko la ajira duniani. Yote haya yanapaswa ratibiwa vizuri sana na kimkakati kupitia wizara hii ili kuhakikisha wizara husika inakua relevant na kuleta tija kwa vijana wa taifa letu - Na hapa sasa ndipo umuhimu wa wizara ya vijana unakuja. Aidha, Ili kuhakikisha mafanikio ya muda mrefu, wizara inapaswa sasa kuja na KPIs zinavyopimika, kama vile lengo la kupunguza ukosefu wa ajira kwa 15%. Ili wizara ifanikiwe , sera ya PPP inapaswa kufanya kazi kwa kina hapa - Nikimaanisha, ili wizara ionyeshe ufanisi mkubwa na kuleta matokeo chanya na endelevu kwa kizazi kipya lazima iimarishe ushirikiano thabiti kati yake, sekta binafsi, na mashirika ya maendeleo. Hivyo nadhani bado tuna fursa ya kungoja na baadae tutaona impact yake - Serikali haiwezi tu kukurupuka kuja na jambo kama hili kama hapakua na Maelengo Tuendelee kujipa muda na naimani tutapiga hatua nzuri mbeleni CC: @ikulumawasliano | @ccm_tanzania | @issamichuzi | @Nyamwihularay | @Dr_DGwajima | @mwigulunchemba1 | @Eric__Bernard | @faryus88

DevotaTweve 的头像
DevotaTweve1 个月前

Tangu ianzishwe sielew kazi yake zaidi ya bilion 200😅

Thomas J. Kibwana 的头像
Thomas J. Kibwana1 个月前

Hujapata mgao? 😂

DevotaTweve 的头像
DevotaTweve1 个月前

Hadi nikajieleze 😅

Maureen C 的头像
Maureen C1 个月前

Sababu wezi tu na wanuka damu

Afisa 的头像
Afisa1 个月前

Yuko sahihi. Ht mie ni kijana na sijui hy wizara inafanya nini. Kwa ujumla hy wizara iliundwa kisiasa tu bila sbb yyt ya msingi wala haijatatua changamt yyt ya vijana.

papaa 的头像
papaa1 个月前

Serikali inawajua Vijana wa CCM tu wengne hawana hbr nao

Chancellor Tolugemba 的头像
Chancellor Tolugemba1 个月前

Aliepewa kuisimamia sijui waga anareport nn

Topten 的头像
Topten1 个月前

Hoja ipo Tena kubwa, CCM waliunda hii wizara Kama project ya kuwatuliza vijana baada ya vurugu zile ndo maana ilikua wizara ya kwanza kuanza kuzurula nchi nzima , lkn ukweli kbs hii wizara iko na utapeli mwingi maana hata mikopo wanayo ahidi hakuna hata mia inatoka.

TruexJr🇦🇪 的头像
TruexJr🇦🇪1 个月前

Alieanzisha anasemaje?

BlessingChess 的头像
BlessingChess1 个月前

Wizara ya motivation speaker

Pusha 的头像
Pusha1 个月前

HAINA MALENGO YOYOTE. NI UPUMBAVU TU! CHADEMA WAKIPEWA NCHI ACCORDING TO MY GERARATIVE AI DATA ANALYSIS INAONYESHA CHADEMA WAKIONGOZA NCHI UCHUMI UTAKUWA KWA ASILIMIA 12 PER YEAR. JOBS FOR VIJANA WILL BE CREATED. FREE MARKET ECONOMY COMBINED WITH FREE PEOPLE NI KICHOCHEO KIKUBWA CHA WATU KUWA PRODUCTIVE..HUU MBINYO WA MAWAZO UNACOST TAIFA VIBAYA SANA. WATANZANIA TUITOE CCM KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA. ASANTENI! WIZARA YA VIJANA NI USHENZI. VIJANA WANAJUA HILO NDIO MAANA WALITOKA OCTOBER 29 2025 MKAWAUWA.

nikki_wa111 的头像
nikki_wa1111 个月前

Kufanya motivesheno speaking!

Gaspar R.E. Makamba ⚖🇹🇿 的头像
Gaspar R.E. Makamba ⚖🇹🇿1 个月前

yeah, hoja ipoo

Geronimo 的头像
Geronimo1 个月前

Hii Radio iache kumpiga picha za video Gerad Hando kwa maana kila wakati anajitekenya pua. Ana urahibu wa kitu fulani ambao siyo jambo jema kwa wanaomuangalia

Afisa 的头像
Afisa1 个月前

Jamaa yk sahihi asilimia 100. Hy wizara ni sawa na hakuna wala haina faida yyt kwa vijana

Charles Abel 的头像
Charles Abel1 个月前

Me nilishasema moja ya wizara useless na waziri haramu useless bas ni hii, yan haelewi nini afanye na hapo ni doctor uchwara

BOB 的头像
BOB1 个月前

Wizara ya kina Mkondya mwenhekiti wa seneti anajua faida zake na yuvisisiemu🤣🤣🤣🤣

BlessingChess 的头像
BlessingChess1 个月前

Ana hoja kubwa sana

ChuganSavage 🇹🇿 🇰🇪 的头像
ChuganSavage 🇹🇿 🇰🇪1 个月前

Wizara ya Kingese sana !

CHRIST's ambassador 的头像
CHRIST's ambassador1 个月前

Sema naogopa watamfungia kabati kama kule alikokuwa

相关视频