Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Good Morning Police Force TZ
60,691 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

@tanpol Mmh...? Huyu kabisaaa....😳 Na ww unamuamini...😳 Apo kwanza ncheke...🤣🤣🤣

@tanpol Mnafik mkubwa huyu

Congratulations to @crossonprime on 7 @naacpimageawards nominations!

@tanpol Hii nchi hata usali dhambi ziko palepale wachungaji wenyewe ndo hao wakina masanja matumbo mbele

@tanpol Huyu ni nan

@tanpol Tatizo siyo uniform ila kilicho ndani ya mioyo ndicho chenye shida.

@tanpol @tanpol yasikikizeni haya mapolisi wa tanzania wote mokozi mara ya pili yuaja atuamue!

@tanpol ..Na baada ya sala tu, tuendelee kuteka, kuumiza na kupoteza wenyenchi. The irony 🚮 #FreeTunduLissuNow #FreeMdudeNyagaliNow #NoReformsNoElection

@tanpol Huyu mbona anachanganya Dini na polisi

@tanpol Maneno yao hayaendani na matendo yao

@tanpol acha nicheke kwanzaaa 😂😂😂😂
