Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
GRAND RECEPTION GOD DID 💪🏽
24,149 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Wanasiasa malaya,malaya wana tabia kama zenu.

[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

Mbona profile hamubadilishi? 😂😂 au mpo kwenye isidingo maana wote mliohama hamusubutu hata kubadilisha profile zenu na kuweka za mlipokwenda mwili upo chaumma ila akili zipo CDM

Kinachochekesha wote waliohama chadema ni ambao wanataka kugombea, alafu wapiga kura ndio sisi 😂

Ukiwa malaya malaya kwenye maisha ya kawaida tegemea hata kwenye siasa utafanya kile kile vitendo vya umalaya huwa hivyo

Afu kwanini hambadili bio zenu

Moza umeolewa tumalize hili suala chapu nije chaumma hapo na Mali zangu zote na akili zangu zote na nguvu zangu zote tuwekeze kwenye siasa na mapenzi ya dhati dhidi yetu na chama chetu

Ondoa picha ya Chadema kwenye dp yako weka chaumama

God yupii???

Kafanyeni mkutano wanhadhara ndip mtajua kweli mmehama na watu au mmehama peke yenu

Next level ni depression…Nyusu inaonyesha fake joy and happiness 🤣🤣

