Ground operation inaendelea vyema.
@siadevinci45.694 Follower
24.576 Aufrufe
20 Kommentare
Kommentare aus dem Originalbeitrag auf X (Twitter)

@innocntfrancis
Afu hao raia wakipigwa mnakuja kusema pray for Palestine
7 Likes

@gobore2018
Wakipigwa vyuma hapo wanaanza kulialia "akibaru..akibaru". PUMBAFU sana
6 Likes

@07_digits
Nadhan hawana shida na raia wangekuwa na shida nao hapo kingekuwa kisharindima
3 Likes

@siadevinci
Wana shida na nani?

@07_digits
Na baba ako mbwa ndio maan unaon hawasumbuki na mbwa japo mbwa wanajaribu kubweka
1 Like

@innojr_
@siadevinci 😂😂😂
1 Like

@07_digits
@siadevinci 😂😂😂 anajikausha damu sana mbwa huyu

@ABDULKA33343032
Alafu wakimaliza apo wanajiita taifa lenye nguvu uku wanapigana na watu wenye mawe tu
3 Likes

@DrEmmanuel94
yani jamaa , waliwavamia israel , wakatolewa , aph leo jamaa wako kwao! yaani ngoma inachezewa kwao asee ! IDF kiboko ... @AbroadTanzania
1 Like

@Rashidmohd2022
Mawe na kifaru wapi na wap

@KayandaNaswiru
Ni ujinga mkubwa hawa wanatumia mawe ndo mana wanawadharahu

@StephanoAlbert9
Israel wana huruma saba hao Wayahudi

@Officialnjuga
Wajaribu

@NchimbiRas
Hii vita ni komedy hakyanani🤣🤣🤣

@tsin98899
Wakiuwawa msilalamike

@Sarakikya5
Niambie Hamas wa Kigogo.

@CairoJeremiah
Wapalestina wa Buza mlisema Israel hawatoweza kuingia Gaza, hapo ni wapi? Na kwa ustaarabu kabisa wanawaacha raia warushe mawe yao wao wana deal na Hamas tu.

@Officialnjuga
Subutu hakuna ground wataingia

@Mtanganyika1234
Wakipigwa wanaanza kulialia. Ooh civilians sjui nini.. piga hao.

@Asksecuritycl
Wapalestne wananyonywa sana urusi