Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Habari zenu...
38,988 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

Baadhi ya Watanzania waishio Marekani. Waanza kuwapa onyo watanzania walioingia Tanzania kinyume na sheria, Mpaka sasa wanasema idadi ya watanzania waliowekwa detention kurudishaa nyumbani ni 61. Msikilze Sharifa... Video kwa Comments 👇

Waturudishie mange kimavi

Broke Tanzanians are waiting to see Roma Mkatoliki cuffed in chains deported back in the streets of "Tandika kwa Mama Bonge" in Daresalaam of Tanzania. FYI Roma is already a US citizen I have details. So You Tanzanians stop being a pain in the ass.

Huko mwisho kachekesha sana😂😂😂

Talk too much! Wabongo ni watu wanaopenda kuona watu wakiharibikiwa! Mind your own business big mouth

Walee zambarau 😂😂

Oyaaa 😂😂 @harakatic msitutupe tukidondoka tumjaribu ubaharia kazi

Nasikia mwendo wa ngiri mamae

Dah nchi ya mwenzio ni mwenzio tu mda wowote lolote linaweza tokea ......hatar sana

Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu KINYEO Nje 😂😂

Warudi mtu kwao tunakaribisha home
Похожие видео
Ushauri: Andamaneni kesho, daini haki zenu!
Kumbusho Dawson Kagine
17,440 просмотров • 6 месяцев назад
