正在加载视频...
视频加载失败
“Hajawahi KUSHINDA KESI YOYOTE”.😂😂
11 条评论

Wakili nina swali, kwnn mara nyingi kama sio zote hujawai kuwekwa kwenye jopo la Mawakili wa Chama kwenye kesi yoyote kubwa ya Chadema..

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Sisi wana Toronto,isevya hotel huko hatukupi kura😄

Kwamba walizika bila kufanya uchunguzi wa kifo?, hiyo hata mimi nashinda😂

Wakili naomba unijibu hii hoja, kama hutojali. Ni malengo gani ulishindwa kuyatimiza CHADEMA unafikiri utakwenda kuyatimiza ACT?

Kumbe inakuuma😃😃mpaka umetafuta ushahidi @Sativa255 endelea kushikilia hapo hapo

Usitumie nguvu kubwa kwenye mambo ambayo dunia inajua fika uhalisia wa mambo ukoje busara ni kukaa kmya kuliko hvyo unavyofanya kweli siku zote ukweli hua unauma sana💯

Lissu na Heche wamefungua madirisha kuondoa hewa chafu ndani ya nyumba.

Kubali wewe ni Malaya wa kisiasa usaidiwe.. usijichekeshe chekeshe kama shoga

Team Lissu mmelaaniwa na Bado, laana za mbowe zitawafalakanisha sana, Bado Viongozi wakuu waliopo Chadema soon kinawaka😀

Wewe hamna alokuwa anakujua au kukuheshimu mpaka pale wapwa walipoamua kukuheshimisha humu. Ukaota mapembe na kutoa maneno ya dhihaka. Subiri sasa una week tu utakuwa unajichekesha humu na kujiongelesha
相关视频
Kumbe Riggy G hubeba notes asisahau kitu yoyote even figures😂😂😂
OTWOMA THE BRAND🇰🇪
162,829 次观看 • 6 个月前
