Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Haji Manara 🥲🥲
307,144 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
12 Yorum

Manara alisema barbra Gonzalez ndo mtu katili kuliko but leo tena anasema mkewe ndo katili kuliko wote jamaa anakurupuka show off nyng

Kuna siku hadi tuliweka space, fala mmoja akawa anajisifia ana hela anaweza kula madem wa wenzie na wake aliwi, narudia tena Hela haimtulizi mwanamke!Akili yake tu na moyo wake kwako ndio utamfanya akutunzie heshima!oh tafuta hela hzi ni kwa ajili ya maisha sio kumlinda mwanamke

Ndoa ilikuwa haina baraka ya wazazi Binti muhuni kazoea wakesha Club Akavute zake shisha yy anataka kumfanya wife material Kuna muda sie wanaume tunakurupuka sana. Sasa huyo mwanamke kwa akili zake alijua atatulia kabisa

take the journey

😂😂😂wakt nazimia ulishindwa ata kuniokota kufa mamaeee

😃😃

Msemaji kaamua kuitisha press tujadili mke wake😂😂😂

Yaan huyo jau kweli

Vitoto vya 2000 wanahangaika navyo vya nn vitawaua na bp na vidonda vya tumbo huyu binti hakufata kula bata tu na mengineyo wayamudu hapo shinyanga harudi mtu na press aite tu ila wasukuma ukweli usemwe tuna kishimbe sana 😂

Manara anatufundisha ukiachana na mtu vita ni vita muraaa haichagui siraha🤣🤣ita mpaka press

Shinyanga sehemu gani

Sijajuwa madam
Benzer Videolar
Sensitive content
Sikiliza majina ya walio tajwa kwenye Voice notes za Haji Manara
Latto 𝕏
43,355 görüntüleme • 1 yıl önce
