Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

Haki wanaume tuko na shida?

308,448 views • 2 years ago •via X (Twitter)

9 Comments

Nelson Amenya's profile picture
Nelson Amenya2 years ago

Hiyo kilio hapo mwisho ni kama anafurahia 😂

Dr. Chumba Emmanuel's profile picture
Dr. Chumba Emmanuel2 years ago

Alafu ukiwapiga wanasema ni gender based violence

Kijana Wa Atwori🔸's profile picture
Kijana Wa Atwori🔸2 years ago

Ingekuwa mwanamke NGOs sai wangekuwa wanaplan maandamano ya kesho..

Adele's profile picture
Adele2 years ago

This man is weak. Ata kusoma katiba nikama amenyimwa for like over a year

MowinBet's profile picture
MowinBet2 years ago

I need money for beer and wild woman..

Another Perspective's profile picture
Another Perspective2 years ago

Mwanaume unafa ukuwe brutal when your life is at risk. Your adversaries hawawezi kukuwacha juu unaloa. Especially hawa, hao ukilia ndio wanapata psych

𝗩𝗶𝗴𝗶𝗹𝗮𝗻𝘁𝗲 𝗩𝗮𝗻𝗴𝘂𝗮𝗿𝗱's profile picture
𝗩𝗶𝗴𝗶𝗹𝗮𝗻𝘁𝗲 𝗩𝗮𝗻𝗴𝘂𝗮𝗿𝗱2 years ago

Hata Kwa siasa pia ,lazima ufurahishe boss ndio ukue karibu 😅

Geoffrey Moturi ( Kawangware Finest ™ )'s profile picture
Geoffrey Moturi ( Kawangware Finest ™ )2 years ago

😂🤣hiyo kilio ya huyu jamaa imenimalisaa😂🤣

MVI's profile picture
MVI2 years ago

Ingekuwa mwanamke anapigwa you would have summoned her in your office for counselling

Related Videos

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Dkt.Dorothy Gwajima amesema wataomba kupitisha siku ya Wanaume Duniani Inayoadhimishwa kila mwaka Novemba 19 kuwa rasmi na sio kuwa kama ilivyo kwa sasa. Hayo ameyasema leo katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Wilayani Bukombe Mkoani Geita ambapo kwa kanda ya ziwa yameazimishwa Mkoani humo huku Mgeni rasmi akiwa Waziri Dkt.Dorothy Gwajima ambapo amesema kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewanyanyua Wanawake kutoka hatua moja kwenda nyingine. “Kama wewe halijakufika Jambo hili la Mafanikio fungua masikio sasa funguo macho sasa ungana na risala hii na risala za kanda zote sita amua sasa uungane nasi pamoja na Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwanyanyua Wanawake kutoka hatua moja kwenda nyingine ,” Dkt.Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii. “Wanaume wananiangalia nawaona wanasema na sisi je ? Ndugu wapendwa Wanaume na nyinyi mpo ngoja niwambie kwenye sera yetu ya maendeleo jinsia na Wanawake tumewaingiza Wanaume na sera hiyo ni mpya imetolewa toleo la mwaka 2023 Dkt.Samia Suluhu Hassan akasema hatutaweza kuendelea mbele Wanawake kama Wanaume huku hawajaelewa hii dhana wanaturudisha nyuma , “ Dkt.Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii. “Lakini tukafungamanisha na hao Wanaume wenyewe kwenye hii sera niliyoisema na wao jambo lao huwa ni novemba 19 Wanaume mpo mwanzo nilisema mpo wakasema tuko jikoni tukakosha vyombo sasa mimi nasema mpo na mpo kwenye sera kabisa maswala ya ushirikishwaji Wanaume ili waendelee lengo la kumwendeleza Mwanamke ni pamoja na kumwendeleza Mtoto wao wa kike na sio Mke wao tuu hatuongelei habari ya Mkeo tuu tunaongelea na Binti yako huyo uliyemuweka nyumbani , “ Dkt.Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii. #MillardAyoUPDATES

millardayo

23,062 views • 1 year ago