Loading video...
Video Failed to Load
Hapa kuliendaje?
27,093 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Davoo amekosea sana kurudisha panga ndani ya gari bila damu kumwagika.

Akili za watz ndio hizo ndio maan watazid kuonewa tuu, wao wanajali kupata umbea bila kutoa msaada wa kuwaamua hao na usalam uwepo bila kuumizana

Hapo ndio ilikua fursa ya raia wote kuungana kutokomeza uonezi ila wako bize kutizama 🙌🏼🙌🏼

Poti alivyoona panga ikabidi aingie mitini

hawa askari nao hawajiwezi yaani watu watatu wanamshindwa mtu mmoja mpaka wanamng'ata

Should Pelosi and/or McConnell retire from Congress?

Akiii ningekua mm hapo panga lingetoka na sikio la afande kmmq...😤

Watanzania sisi ni mabumunda yaani mtu anakula vitasa hapo majitu yametoa macho tu pumbafuu kabisa

🤣🤣🤣😂😂ananing'ata 🤣🤣🤣🤣uwiii

😂😂😂😂😂

Sema jamaa Lina pawa sana
