Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Hapa kuna mambo haya✌️
42,410 Aufrufe • vor 16 Tagen •via X (Twitter)
20 Kommentare

Yani hii ndio mtoto anakuwa na trauma tangu utotoni Alafu ukubwani unalaumiwa na watu😢

Huyo aliekuja kuchukuwa Simu hivi mmemzingatia lakini😢😢 Daaah! Vita ni kubwa sana tofauti na mnavyofikiria Dudubaya pekeeake hatoshi anahitaji nguvu ya ziada.

Huyu Gigy asamehewe tu nivtrauma ya sexyal abuse akiwa mtoto imeruin life yake kisaikologia. Inaonesha na mama yake nae anamatatuzo hayohayo tangia akiwa mtoto! Mama na mtoto wote wanaumwa... naijua hii kupitia mama yangu na sio rahis kurecover kama mama hatelimishwa afungue njia

MBONA KAMA NIMEONA KINONDON ISIYOKUA NA STUDIO INAKATIZA😀

Hizi ndo content sasa

Mwanza bila mawe imepita😂😂

Mjinga mwenye confidence

Vitu vingine sio vyakuweka social media demu mwehu

Hilo lijamaa duh kazi hamna

Huyo Abdul mwenyewe mbona km kipa katoka ndo anatembeaje hivyo

@manywele_ze Mbn km mtibwa haina Sugar

uyo wa pembeni mwenzetu kweri

😆😆😆🙌

Hyo ndy mtoto mleavyoo

Teja linaongea

Mbona kama nimeoa ambulance haina kin'gora apo

Afu unataka kushindana na chanzo hivi ndo vitu vyenu upinde

Hivi ndo vitu vyenu sasa nyi machoko

Nimeona chakula apo

Mama angu chizi nini astaghafirurah 😢😢nimeliaaaaaa
