Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Hapa si Dubenga
28,587 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
14 Kommentare

Hamisa Mobeto na Aziz Ki Penzini.. Wakijivinjari Dubenga Angalia kwa Details...😂 Picha kwa Comments👇

Mkono huo

Mkono Hamisa 😂😂

Kummke kwan hamisa hajatosheka na sisi kutoka bado anataka tukose na ubingwa jamnj

let me know what you think of this

Kama binadamu ukiachilia masuala ya kazi yake anahitaji kufurahia maisha yake kwa kipindi chake hiki, kwa hiyo sioni shida kwake kwa kuwa anastahili kufurahi pia.

Kwishaaa kalaaa mzigoo

Baadae ustaakia walikua wanafanya Tangazo la GSM

Hapa yanga wanashuka daraja…

Hawa wachezaji bhana, ashaingia kwenye mfumo😅😅

Harafu jamaaa mshamba kabisa anaogopa kumshika mtt

Mwanenu anabemendwa walai

Au tuseme Singapore 😂

Hivi jamaa anajua Kama yanga wameweka pesa
Ähnliche Videos
Sensitive content
Hapa sio BURUNDI wazee, ni TANZANIA hii hii ambayo ilitolewa 700M.... Si ajabu Diwani na Mbunge wa hapa atapita tena.... Aliyeturoga atafutwe achapwe viboko 🙌🏽 Mkoa 👉🏽 TANGA Wilaya👉🏽BUMBULI
Dullah_theKing🎧
50,792 Aufrufe • vor 1 Jahr
