Hapa ukigotha unafungwa jela😭
1,241,120 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Hapa ukizima unaamka na simu zako zote kwa mfuko na wamecharge😂😂

😂😂😂

Damn huku huwezi hata sema Dj cheza Sabaratisha moyo wangu🤔

Unatolewa mbio sana 😂

Na wanaume msifikirie mkipata kama hawa mnatoka block,these girlies are the worst investment buana. Hawananga any,pesa yote iko kwa mzazi. Na mzazi kabla atoe pesa lazima ikue accounted for,kama huna uwezo kimfuko hapa unagonga na unaondokea,you cannot sustain her lifestyle

Nimekumbuka nishaitwa one of these events buanaa na morio wangu alikua jaba ilibidi aimeze tuingie buanaa na huko hawasemi ati sijui rada ama oyaa ilikua “whatupdoe”😂😭😭

Hapa ukisema jina Murima unaitiwa FBI 😂

😂😂😂

Hawa wasee kuna spot flani Westlands kunaitwa Pregame ama "Kwa Johnny"..huko ndio utawapata.Last Friday nmeongea kizungu huko Hadi mate ikaisha.😂😂😂

Naisha 😂
相关视频
Sensitive content
5 hrs later tuko hapa,…. Actually ilifanyika jana 12 na kuna watu wako hapa 8 hrs… fvck whatever… 😭
Junkyard diver
173,506 次观看 • 1 年前
