Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Hapa Walaumiwe wanaokopesha simu 🤣
52,908 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Hawa hata kifo hakiwezi watenganisha

- We're Flying

Nashauri Kwenye Ule Mpango Mpya wa Kuichora Ramani ya TANZANIA nashauri Kigoma isogezwe karibu na Morogoro 😁

Mtoto anataka lita huyu yeye anatazama mashabiki🤒

Kazingua sana

kidume ametuangusha, mtoto aliutaka umate🤣🤣🤣

Weee mzee kwa hiyo wamekosea wapi. 🤣🤣🤣🤣

🤣 mtoto kataka umate kanyimwa

Hawa wakiachana lazima mmoja akutwe juu ya mti wa mwembe kajitundika

Hamna shida kwa tcra wameruhusu mtandao ushike jadi Kigoma ona sasa

I can tell this is the most happiest time of their marriage ever. Wakishakuja watoto mnaumiza vichwa pampers na sabuni za kufulia, mara chakula na ada. Nakuambia hata kushika simu mjipost hukumbuki. Mtakuja kukumbuka mkiwa tayari mna 20+ ndani ya ndoa
Benzer Videolar
Sensitive content
Hapa CBD mambo imechemka, this woman is lying that the guy stole his phone... hajui hadi simu ni type gani
Kingpin of Kenya
49,300 görüntüleme • 3 ay önce
Sensitive content
Hii UTI iliyopo hapa inaweza zalisha umeme🤣🤣🤣
Adui Wa Yanga
32,302 görüntüleme • 29 gün önce

