Loading video...
Video Failed to Load
Hapo Kamanda Mmemuelewa?
37,026 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Kamwe alimjibu km mdau wa michezo sio RC, yeye km RC angekua na mipaka yake mbona mkuu wa mkoa wa mwanza anapambania pamba jiji yake bila kugombana na mtu?

Sasa hilo ni kosa la kukamata mtu saa 7 usiku??Huyo Kamwe mngempigia simu aje kesho yake polisi asingekuja? Gari ya kwenda kukimbiza magendo na majambazi mnaenda kumkamatia Kamwe!

Mnafata nini kwenye mpira kama hamtaki kupewa vipande

Didn't you see Chiitan's precious bell?

Kwanza tarehe 21 mbali angepangiwa tarehe za karibu karibu ili asiondoke Tabora 😀

Hapo sasa watakubali busara itumike au kanuni na sheria zifuatwe...

Me Baba yangu tu home nilikuwa siwezi mjibu ovyo ivyo dogo awe anajua kuongea pindi akipewa mic 🎤 mana sio mara ya kwanza

Yeye RC alitoa kauli ya kiRC?

Rc kauli yake kwa Wana yanga kuwa Wana viherehere je ni kimichezo au kiutawala? Amejibiwa sawa kabisa

KAMWE HATA BABA AKE MZAZI ALIMWAMBIA KUWA KAULI ZAKE SIO NZURI.

Aisee
Related Videos
Sensitive content
Lakini si hapo Arrow Dental walikuwa wamekuja sana jameni? Hapo fipi sasa?
Fafa Mukuru
32,416 views • 1 year ago
