Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Happy independence day Tanzania
11,441 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
9 Kommentare

Unaetafuta uhuru wa kweli utateseka, Utapoteza damu utatoa machozi na utakesha, Hauwezi kuupata maana hakuna ulipouweka, Uhuru haupatikani kwa fedha, Uhuru is priceless kwa kuwa si bidhaa halisi.

"Uhuru si halisi jamaa badili umbo/" "Uhuru sio jibu hata usikariri fumbo/" "Uhuru ni falsafa ya vitabu/" "Iliandikwa na mababu/" "Tutaisoma na mwisho itabaki huko/" 🙌🙌

Mnakumbatia uhuru wa kuambiwa, Wakati unaisha na haukuchagua kuzaliwa.

Mdogo wngu ana'doubt mi ni star Na anashangaa kwanini I don't have a car ✍️ Vina

Aliekuambia uko uhuru utaupata amekudanganya... UHURU Aupatakani kwa fedha

Ukishajua uhuru tu, tayari ushaupoteza uhuru

tukipata muda tukasome kitabu kinaitwa “KWAHERI UKOLONI , KWAHERI UHURU” by Harith Ghassany

Unakumbatia uhuru wa kuambiwa.

shahidi🫡
