Happy Sunday 🙏🤍❤️
@Imaniluvanga13 B takipçi
25.486 görüntüleme
17 Yorum
Yorumlar X (Twitter) üzerindeki orijinal gönderiden alınmıştır

@MkulimaKante
This is so beatiful, Mungu wa mbinguni awatunze mdumu katika upendo. Hongereni kwa kumshirikisha Mungu kwa kila hatua #PutGodfirst
10 beğeni

@ShijaDenis
Safii nimependa hii upendo haitaki mambo mengii watu wachache tu na tukio muhim linafanyika
2 beğeni

@SarikieCA
Njombe cathedral was a great pick! Blessings 🙏
2 beğeni

@faida_magiyula
Hongera sana Imaa!
1 beğeni

@Brainmido
Kumbe imefanyika njombe dah sikujua ningekuwa kanisani hapo hongera sanaa
1 beğeni

@FadhyMtanga
@rastaclaaaat Hongera mno.

@iamthatfemale
@revie13_ Beautiful video

@Matallahkhamis
Kwani umeolewa na Kikeke?

@JimmyMtanzania
Hongera sana kwako na mwenzi wako. Ikawe yenye kheri!

@innocentxxii
Hongera sana Mungu akusimamie

@mlula_05
Wakukaye ufnga ndoa leo

@AfricanoGooner
Njombe , Hongera kurudi home kwenu

@Mhehehalisi
Hongera sana Iman, send off ilinoga sana.

@Imaniluvanga
Asante

@Rydx_017
Hongera sana Imani

@Imaniluvanga
Asante

@TherealBihemo
Hongera sana