Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Harmonize ndani ya Mjengo wake mpya.

34,815 Aufrufe • vor 2 Monaten •via X (Twitter)

15 Kommentare

Profilbild von MK 7BEAT
MK 7BEATvor 2 Monaten

Sema imemchukua muda kweli kweli yapata hata miaka mitano yote kumi mjengo ni mkali kajenga nyumba ya ndoto yake mashallahu

Profilbild von Shokosugi
Shokosugivor 2 Monaten

Huo mjengo wake unawasadia nini watanzania maskini?

Profilbild von Hancy Machemba
Hancy Machembavor 2 Monaten

Baadaye unaweza kusikia jambo jipya. Maisha ya wasanii ni usanii sana

Profilbild von Justine Christopher
Justine Christophervor 2 Monaten

ntakuwa wa mwisho kuamini kuwa hiyo nyumba ni ya mmakonde

Profilbild von THE1withNOname
THE1withNOnamevor 2 Monaten

Hatuombei, ila akiumwa tutajua kilakitu

Profilbild von Tanzania Buzz
Tanzania Buzzvor 2 Monaten

؟

Profilbild von Malebo
Malebovor 2 Monaten

Madogo wanapanga nyumba kwa sababu ya showbiz wanatuambia nyumba ni zao😅😅😅

Profilbild von Mgosi wa kaya
Mgosi wa kayavor 2 Monaten

huuu mjengo au chumba na sebule self na jiko

Profilbild von KijomoTJ
KijomoTJvor 2 Monaten

Watu wanaishi

Profilbild von sanders.general
sanders.generalvor 2 Monaten

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Profilbild von ZEBENGOH
ZEBENGOHvor 2 Monaten

Nyumba kalii

Profilbild von Rama Mobile Hub
Rama Mobile Hubvor 2 Monaten

🔥🔥🔥🔥

Profilbild von welber
welbervor 2 Monaten

Kwa watu wakawaida wanaowaza maandamano na kuchoma Moto mjue kuanzia sasa ukipata Kazi au kipato chako kile cha Kwanza basi toa sadaka na uombe maombi yako utafanikiwa

Profilbild von Ndonde
Ndondevor 2 Monaten

Upuuzi na kujilisha upepo

Profilbild von duboisjr2003
duboisjr2003vor 2 Monaten

Kuna mwanangu mmoja aliwahi nambia " moja ni ndogo au sawa na mbili"

Ähnliche Videos