正在加载视频...

视频加载失败

Hata hawaruhusu amalize sentence... Umegonga gari ya..... twaff twaff 😄

197,994 次观看 • 26 天前 •via X (Twitter)

0 条评论

暂无评论

原始帖子的评论将显示在这里

相关视频

VIDEO: Mfanyabiashara na mwalimu kutoka mkoani Arusha, Sabina John (40), ameiomba serikali kutoa tamko kuhusu mali zake, ikiwemo magari manne aina ya Scania, ambayo amedai kuwa yameharibiwa vibaya kiasi cha kushindwa kutazamika. Akizungumza na waandishi wa habari, Sabina amesema: "Kwa miaka yote hii ambayo gari ziko hapa, zimechinjwa kiasi hiki, na sina chochote ninachoweza kufanya. Ndo gari nambiwa niichukue." Sabina ameeleza kuwa alikwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuomba msaada, ambapo magari hayo yalikuwa bado katika hali nzuri wakati huo. Hata hivyo, amedai kuwa baada ya amri ya magari hayo kupelekwa polisi, suala hilo limekuwa likipigwa danadana kati ya mahakama na polisi. "Mkuu wa mkoa alitoa amri magari yaende polisi, lakini huyu anasema ni kazi ya mahakama, mwingine polisi. Kwa kweli nimechoka," ameongeza. Sabina pia amesema kuwa ameshinda kesi kadhaa mahakamani lakini bado hajapata msaada wowote, huku akidai kwamba wadaiwa wake, ambao ni mpenzi wake wa zamani Julius na fundi aliyeachiwa magari hayo, hawana uwezo wa kumlipa fidia. Katika moja ya gereji ambalo gari moja liko, Jambo TV imekuta gari hilo limeharibiwa vibaya, likiwa halina viungo muhimu kama matairi, injini, chesesi, na vifaa vingine vya msingi. Inadaiwa gari hilo lililetwa gereji likiwa bado linatembea, lakini hali yake sasa inasikitisha. Mfanyabiashara huyo amesema yupo njia panda, akishindwa kuelewa nani atawajibika kwa hasara hiyo kubwa ambayo ameipata. Ameiomba serikali kuingilia kati ili kuhakikisha haki inatendeka na kupata fidia ya mali zake.

Jambo TV

76,025 次观看 • 1 年前

NIFFER ALIKUWA MATEKA HATA BAADA YA KUFUTIWA KESI. Ukitazama kwa makini hii video wakati Niffer anaondoka eneo la Mahakama ya Kisutu mara baada ya kufutiwa kesi utagundua kwamba kuna kitu hakiko sawa. Picha linaanza hii gari ambayo alipanda Niffer wakati anatoka Mahakamani ilikuwa inaendeshwa na Habibu Mchange ambae ni Kada wa CCM lakin mbali na Mchange kwenye hii Gari pia kuna ofisa wa Polisi wa kike na yeye alipanda gari hii hii na alikaa siti ya mbele kisha gari ikawashwa ikaelekea mahali ambako Habibu Mchange alikuwa amemuandalia Niffer press. Kwa lugha nyingine Niffer alifanya press akiwa chini ya ulinzi wa Polisi (alikuwa mateka) na alipewa karatasi ambayo ilimguide aseme nini mbele ya Wanahabari, karatasi hiyo iliandaliwa na Habibu Mchange hata ukirejea kwenye ile press ya Niffer wakati anazungumza ni Kama hakutaka kumtaja kabisa Idd Amin Mama lakin yule mtu aliyekuwa amekaa pembeni yake akamwambia kwa sauti ya chini “Mshukuru Rais” ndo Niffer akamshukuru Rais so Niffer hakufanya vile kwa utashi wake bali mazingira yalimlazimisha kufanya ivo hata alichokuwa anazungumza na body language vilikuwa vinakataana. Kwa msiomfahamu Habibu Mchange ni Kada wa CCM lakin pia ni Mmiliki wa Gazeti la Jamvi la Habari, Gazeti ambalo Serikali ya Nduli Idd Amin Mama huwa inalitumia kushambulia wapinzani wake, Wanaharakati na watu ambao huwa wanaikosoa Serikali. Hata wakati Serikali ya Idd Amin Mama inawafukuza Wamaasai Ngorongoro ili eneo hilo apewe Mwanamfalme wa Dubai ili ajenge Mahotel miongoni mwa watu ambao Serikali iliwatumia kufanya propaganda chafu dhidi ya Wamaasai wa Ngorongoro ili kuhalalisha kitendo cha Serikali kuwafukuza Ngorongoro walimtumia huyu huyu Habibu Mchange, Balile, Maulid Kitenge na wenzao. Hata wakati Idd Amin Mama anataka kuwauzia DP World bandari ya Dar es salaam kabla hawajasaini Mkataba walimtanguliza mbele Habibu Mchange, Balile na Maulid Kitenge wakaanza kuisifia hiyo kampuni ya DP World baada ya hao Machawa kutumika kuimwagia sifa hiyo kampuni ya DP World ndo tukajakusikia kwamba Serikali inataka kuuza bandari za Tanganyika, Wananchi tuliukataa kabisa huo mkataba wa kilaghai lakin mwisho wa siku Idd Amin Mama aliwauzia Waarabu bandari zetu. Hata project ya hao Mashehe Ubwabwa ambao mnawaona wanafanya presss kila siku za kumtetea Nduli Idd Amin Mama na kutaka kutugawa kwa misingi ya dini, mtu ambae Serikali imempa fungu la pesa kwa ajili ya kuwalipa hao Mashehe na kuwaandalia izo press ni huyu huyu Habibu Mchange. Yani kwa kifupi Serikali ikitaka kufanya deals nyeusi huwa wanamtanguliza mbele huyu Habibu Mchange so ukimuona huyu jamaa ameshupalia jambo basi ujue nyuma yake ipo Serikali.

Hilda Newton

84,460 次观看 • 8 个月前