正在加载视频...

视频加载失败

Hatuutaki muungano

38,064 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Sabrina winga 的头像
Sabrina winga1 年前

Tusaidiane kulipa deni la Taifa mkimaliza ndo tuvunje

Shacks 的头像
Shacks1 年前

Hapo ni vitukuu wameungana na wazazi wao kudai talaka ya bibi yao😂😂😂😂

Zanga zarara 的头像
Zanga zarara1 年前

Hata sisi watanganyika hatuutaki kabisaa bas tu hatuna budi

Abubakar Muhammad Said 的头像
Abubakar Muhammad Said1 年前

Wazanzibari hatujawahi kuutaka Muungano huu na wala hatujawahi kuuridhia Muungano huu, kilichokuwepo ni nguvu za CCM-Zanzibar kulazimisha kwa maslahi yao binafsi tu. Muungano tunaoutaka sie ni wa serikali tatu, Muungano wa mkataba.

Komatsu G 的头像
Komatsu G1 年前

Hata mm naona watanganyika hatuna faida yoyote na muungano zaidi ya kuwanufaisha wa zanzibar tu wao wa naweza kuwa marais wa muungano mawaziri makatibu wakuu wakurungezi wa miji bara lakini ss watangayika hatuwezi kuwa hivyo zanzibar muungano wa nn sasa No reforms no election

E_wushu 的头像
E_wushu1 年前

Kila upande unadai unaumia na muungano. Mimi sijawai ufurahia ila tugawane madeni kwanza alf ndio tuvunje hii ndoa ya muungano.

Gaston Mboru 的头像
Gaston Mboru1 年前

zanzibar sikuzote hawatak muungano sisi ndio huwa tunawagagania. ndio maana zanzibar siku akipita mpnzani na awe mzanzibar chakwanza watavunja muungano

Dady Joseph 的头像
Dady Joseph1 年前

Usikute huyu kazaliwa tandare kwa tumbo ila wazazi wake wakahamia huko znz leo hii anataka muungano uvunjwe hivi wanawake wa kislamu wamekumbwa na nn

Luka matete 的头像
Luka matete1 年前

Mbona hii ni tangu zamani, kama kuna watu wabinafsi na wabaguzi ni zanzibar, wauvunje tu

Zingibermc 的头像
Zingibermc1 年前

Hii imekuja baada ya viongozi kushindwa kuufuma vizuri muungano. Naamini watu wanataka muungano lakin muungano makini

相关视频