Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

37,848 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

7 Kommentare

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Baada ya Msemaji wa Serikali jana, Gerson Msigwa Kusema kuwa No Reform no Election, Ya mitandaoni ni Upuuzi. Wanafunzi wa Chuo kikuu cha UDOM. Wameitoa mitandaoni na kuifikisha harakati live, Wakati Msigwa akiwa anaongea mbele ya Stage baada ya show ya Chuo kwa chuo iliyoandaliwa na Billnass. Angalia hali ilivyokuwa... Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Wakaendelea

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Hii hapa

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Hii ya mwisho

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Aliposema No reform ni upuuzi...

Profilbild von Latto ๐•
Latto ๐•vor 1 Jahr

Maelezo yake...

Profilbild von XMMXV_ื™ื•ืฆืจ(Yotzer)
XMMXV_ื™ื•ืฆืจ(Yotzer)vor 1 Jahr

Inaonekana ni kikundi kidogo cha wanafunzi na sio UDOM kama ulivyoliweka Latto Tena back benchers u know what I mean

ร„hnliche Videos