正在加载视频...
视频加载失败
Hawa watoto wako wapi?
67,883 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

𝟐𝟒𝐡𝐨𝐮𝐫𝐬 𝐨𝐟 𝐇𝐮𝐥𝐤_𝕏〽️™️2 年前
chama cha mapinduzi hawakawii kutafuta mmoja baada ya mwingine asee…

master2 年前
Ila lowassa mganga wake alkuwa mkali nikikumbuka alivotua musoma town ilkuwa kama kaja nan sijui

Pabl Escbar2 年前
Wanauza Mawese Kazuramimba..

Historia Yetu2 年前
😂

POTI2 年前
Wamepangwa ao wanaelewa nn kuhux mabadiliko

Sinandugu Kissailoh2 年前
Hahahahahaha rafudh ya waha hii

Sir Ndalusanze 🥇🛡2 年前
Hawa ndio wakina apo walikua UWANJANI TP @CypherSmitRowe na @DixxonArt

PENDULUM BOB2 年前
Madogo hao sasa hivi UVCMM

Claudi canigia 442 年前
Ndo wapiga kura wa sasa . Wana miaka 21 hao ujue

Eston Patrick2 年前
HICHO NDICHO KILICHO MUANGUSHA HAYATI LOWASA MWAKA 2015 KWENYE UCHAGUZI, ALIKUA NA WAFUASI WENGI HASA VIJANA NA WATOTO, LAKINI WENGI WAO HAWAKUWA NA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA KWA KIGEZO CHA UMRI. _all in all_ R.I.P_ Mwamba.

