Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Haya ni Maajabu ya ligi yetu 😁

66,644 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Alawyjr
Alawyjrvor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Maajabu mengine umeyasahau november 5 alianza manula ambaye alikua katoka injury ya miezi mingi na baada ya hiyo mechi akarudi benchi

Profilbild von Rock Paper Sizzle
Rock Paper Sizzlevor 2 Jahren

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

Profilbild von Mugwe Ismail Venant
Mugwe Ismail Venantvor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Hahahaa kitu hikihiki kilitokea Novemba 5, 2023. Manura hakuwa kachezi zaidi ya miezi 10, akala mkono kisha akarudi benchi. Vipi hii haikuwashanhaza?

Profilbild von mjenzii
mjenziivor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz maajabu mengine yalitokea huku walitoa kipa namba moja wakaweka air Manula..

Profilbild von Orest
Orestvor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Hata nyie mlimuweka Manula mkamuacha Mwarabu , mkala 5

Profilbild von Paschal
Paschalvor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Kama ileeeee 5-1 Manula

Profilbild von WALE Lé
WALE Lévor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Mkiendelea kufuatilia hii mipira ya Bongo hamutofikisha miaka50 ya kuishi

Profilbild von Kiongozi!
Kiongozi!vor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Kwani Yanga alikaa golini kipa no ngp au nao walitaka kuuza mechi?

Profilbild von Dingi kalosti
Dingi kalostivor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Jana Fountain gate wamemchezesha mtenje namba mbili wkt kiasili ni namba sita huku shiga akianzia benchi wkt ndo mwny namba mbili yke na wamemsajil kwa kaz iyo

Profilbild von JOHN MTANGOO
JOHN MTANGOOvor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Yanga pia baada ya kuhakikisha imepitwa na Simba ndio imeanza kumchezesha kibwana. Ukweli ilipewa bahasha ili Nkane acheze tatu. Na ndio maana KATIKA GOLI 15 timu ya watakatifu INAMAGOLI 12 ya penalty 🤣🤣🤣! Team ya wachambuzi bwana 🤣🤣

Profilbild von saju mahege
saju mahegevor 1 Jahr

@privaldinho @shaffihdauda1 @FKihamu @millardayo @SportsarenatzTz Manula alivyokula goli 5 na Yanga alidaka mechi ngapi kabla?

Ähnliche Videos