正在加载视频...
视频加载失败
Haya tegeni sikio hapa
10 条评论

Yanga from shirikisho final 2022-2023 to ligi mabingwa kufuzu makundi kwnda nock-out stage 2023-2024 waka toka kwa penalty na Mamelod ni hatua kubwa kzur zaid wamerud tna na project yao ambyo aija yumbishwa bali wameongzea wachzaj so they deserve to be recognized kwa kuwa ni best

Haya tegeni sikio

Wachambuzi wale wa michongo huwezi kukuta wanaizungumzia hii,

Shaffii huwezi kumskia akitoa maoni hapa

Na wish sana yanga apangwe kundi moja na raja tuone boli kali

wanasimba wanafyonza kwelikweli

Watege sikio na wasikilize vizuri 😂, tunatishia huko, na hakuna mtu anataka kupangwa na sisi @nelsonkolukwi

Group of death @Noel9Mwakaje

Group of death na jamaa kasema awez kufika semi final 🤣🤣🤣

Mnapenda sifa uto hiki kitu kitawatafuna, sifa zisizo na maana.
