Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Hayachoshi.
34,898 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
9 Yorum

Mbaade 🤠2 yıl önce
Halima unajua kuwarusha roho makolo

Ipyana Jr2 yıl önce
😀😀😀

lokafela2 yıl önce
Kwa mfano hapo Hilo goli Lina mahusiano Gani na Takukuru 😂😂😂 jamaa wamechanganyikiwa

EL-BIKE⁰⁰¹🤔2 yıl önce
@FistoniMayele Pole kwa kutokuchoka my 😂

Tonny2 yıl önce
Hili goli Nzegeli hakuwa offside? Halima sema kweli, au macho yangu yana matatizo

Kifefe2 yıl önce
Vunga Vunga FC

Joe2 yıl önce
@ddl_vid1

omar_yanga_jr2 yıl önce
@Nunda24197358 Na mechi ijayo inabidi wafungwe 8 iki watueshiku mana wanawaza machi ya round ya pili watatufunga

SUNGURA OLTURUNGA.🇹🇿🇰🇪🇺🇬2 yıl önce
Tuwaombee watani wetu,,,kuna jinamiza linawanyemeleab,,hawako sawa kisaikolojia,,

